Blog

VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA (Sehemu ya 6)

Habari za muda natumai huu mzima wa Afya panapo na changamoto zozote naamini unauwezo wa kuzitatua. leo tunaendelea na kigezo cha nne kama hukupata wasaa kusoma basi rudi katika makala za nyuma uanze taratibu. karibu 4. Sera ya gawio na matumizi Kigezo cha nne cha kuzingatia kabla ya kuwekeza (kununua hisa) ni sera ya gawioContinue reading “VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA (Sehemu ya 6)”

VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA Sehemu ya (2)

SOKO LA HISA – Sehemu ya Tano( 5) Heri ya Mapumziko ya wikiendi natumai huu buheri wa Afya napenda kuendelea na sehemu ya pili ya makala iliyopita kama hukuisoma tafadhali rejelea makala za nyuma ili twende pamoja tulichambua vigezo vya kuzingatia kabla ya kununua hisa tukaangalia kuhusu KUJIFUNZA BIASHARA UNAYOTAKA KUWEKEZA na ndani yake kukawaContinue reading “VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA Sehemu ya (2)”

VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA. Soko la Hisa – Sehemu ya nne(4)

Vigezo na kanuni za uwekezaji vinatofautisha kati ya wawekezaji waliofanikiwa na wale wasiofanikiowa. Jaribu kufuatilia kanuni za wawekezaji maarufu waliotengeneza utajiri wa mamilioni ya dola bila kurithishwa kama Benjamin graham, Warren Buffet, George Soros, Carl Icahn, PterLynch walifuata kanuni na tabia za kiuwekezaji zilizowaletea mafanikio. Hebu sote tujifunze Swali linalosumbua wengi sana ni hili: Je,Continue reading “VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA HISA. Soko la Hisa – Sehemu ya nne(4)”

SOKO LA HISA – (sehemu ya 3)

UWEKEZAJI Kununua hisa(stocks), vipande(shares) au hatifungani(bonds) ni kuwekeza. Kufanya biashara ni kuwekeza. kukodisha nyumba kwa wengine ni biashara. Kuweka fedha benki katika akaunti ya amana ya muda mrefu inayoleta riba ni uwekezaji. Nini Maana ya UWEKEZAJI Neno Uwekezaji” lina maana nyingi na tofauti tafsiri hii naipenda sana kuhusu uwekezaji Tafadhali isome hadithi hii kwa umakini.Continue reading “SOKO LA HISA – (sehemu ya 3)”

NINI MAANA YA HISA

Utangulizi ( sehemu 1) Takribani 95% ya mamilionea wa Marekani wanamiliki hisa Hisa ni Rasilimali/Kitegauchumi. Kitegauchumi ni kitu kinachoweza kumpatia mtu binafsi au biashara, kampuni au shirika au ubia faida halali. kadhalika, hisa ni kitegauchumi chenye uwezo wa kumpatia mwanahisa faida kwa njia ya gawio(dividend), kumiliki hisa ni kumiliki kitegauchumi na rasilimali za kampuni yaContinue reading “NINI MAANA YA HISA”

Loading…

Something went wrong. Please refresh the page and/or try again.


Follow My Blog

Get new content delivered directly to your inbox.

Create your website at WordPress.com
Get started